Kwa Arsenal hii mtapata tabu sana - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwa Arsenal hii mtapata tabu sana

Kocha wa Arsenal Unai Emery, aliyeanza ligi kwa kupoteza mechi mbili mfululizo, sasa ameendelea kupata matokeo bora yanayowaduwaza wengi baada wa jana kuiadhibu Leicester City kwa mabao 3-1 na kupanda hadi nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu England ikiwa pointi mbili tu nyuma ya vinara Manchester City na Liverpool, baada ya kila timu kuche mechi tisa.


Source: MwanaspotiRead More