Kwa beki huyu wa Yanga! Kagere, Bocco wajipange - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwa beki huyu wa Yanga! Kagere, Bocco wajipange

Sasa unaambiwa achana na Lamine. Wapotezee Urikhob, Kalengo ama kina Bigirimana, Msimbazi na timu nyingine pinzani lazima zijipange hasa safu yao ya ushambiliaji mbele ya Moustafa aliyetokea Aigle Noir FC inayotokea mji wa Makamba.


Source: MwanaspotiRead More