Kwa Kimenya imeshaanza kulipa mbona! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwa Kimenya imeshaanza kulipa mbona!

Amesema hadi sasa ana mabao manne aliyofunga akichezeshwa kama mshambuliaji, mawili ameyafunga katika mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar na mengine mawili kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Mbeya kwanza.


Source: MwanaspotiRead More