Kwa ngumi zile! Mwakinyo kavuta pesa hii - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwa ngumi zile! Mwakinyo kavuta pesa hii

HAPA ndio utafahamu kwanini wanamichezo wa Kibongo wanakufa masikini! Yaani kama ulikuwa unapigia hesabu mkwanja wa bondia Hassan Mwakinyo ili kumpiga mzinga basi acha kabisa kwani, jamaa wala hajavuta pesa ya maana kabisa licha ya kumshushia mpinzani wake ngumi nzito mwanzo mwisho.


Source: MwanaspotiRead More