KWA SAM WA UKWELI; Bora Wali-Tembele kuliko walimwengu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KWA SAM WA UKWELI; Bora Wali-Tembele kuliko walimwengu

Kama yalivyo maneno ya mwandishi galacha wa Uingereza, William Shakespeare, kuhusu kifo, ndivyo imekuwa ikithibitika miaka yote. Shakespeare aliishi muhula wa pili ya Karne ya 17 na kufariki dunia muongo wa pili, Karne ya 18. Shakespeare alipata kuandika: “Nothing can we call our own but death and that small model of the barren earth which serves as paste and cover to our bones.”


Source: MwanaspotiRead More