KWA SASA KOMBE LA KAGAME HALINA FAIDA KWA YANGA, ZIFIKIRIWE SIMBA NA MTIBWA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

KWA SASA KOMBE LA KAGAME HALINA FAIDA KWA YANGA, ZIFIKIRIWE SIMBA NA MTIBWA

JUNI 5, mwaka huu Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza rasmi kurejea kwa michuano ya Klabu Bingwa ukanda huu, maarufu kama Kombe la Kagame ambayo itaanza Juni 28 hadi Julai 13 ikifanyika katika viwanja viwili kwenye Jiji la Dar es Salaam, Taifa na Azam Complex, Chamazi vyote vipo Manispaa ya Temeke.
Akitaja makundi ya michuano hiyo, Katibu wa kudumu wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Nicholas Musonye alisema vigogo wa Tanzania Simba na Yanga wamewekwa katika Kundi moja pamoja na Dakadaha ya Somalia na Saint George ya Ethiopia.

Musonye alisema kwamba Kundi A linaundwa na timu za Azam FC, KCCA ya Uganda, JKU ya Zanzibar na Kator FC ya Sudan Kusini, wakati Kundi B linaundwa na timu za Rayon Sport ya Rwanda, Gor Mahia ya Kenya, Lydia Ludic ya Burundi na Ports ya Djibouti.
FIFA imeridhia Kagame kufanyika mwezi huu tofauti na agizo lake la kutotaka katika mwezi wa Fainali za Kombe la Dunia yasifanyike mashindano mengine yoyote, kwa s... Continue reading ->
Source: Bin ZuberyRead More