Kwa Simu toka London: VItabu Mahiri Vya Kiswahili - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwa Simu toka London: VItabu Mahiri Vya Kiswahili

Mwandishi nguli wa Kiswahili - Mohammed S Mohammed- aliwahi kupata tuzo mbalimbali na kuzawadiwa na Mwalimu Nyerere (1970) na Kenyatta (1973). Ingawa alichapisha vitabu vitatu tu Mohammed S Mohammed yumo ndani ya kundi la wanafasihi majabali - Shaaban Robert, Adam Shafi, Said Ahmed Mohammed, Euphrase Kezilahabi, nk. Baada ya zaidi ya miaka 40 vitabu vyake vipya vimetolewa upya na shirika la uchapishaji vitabu Nairobi, Sasa Sema Vitabu hivi ni Kiu, Nyota ya Rehema na Kicheko cha Ushindi ... Tungependa kufahamu yu wapi?... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More