Kwa staili hii, KMC itabaki kuwa juuuu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwa staili hii, KMC itabaki kuwa juuuu

MSIMU huu ni timu sita ndio zimepanda daraja tofauti na misimu mingine iliyopita nyuma. Ligi Kuu Bara ilikuwa na jumla ya timu 16 kabla ya kuongezwa timu nne zilizofanya vyema Daraja la Kwanza na kuifanya Ligi Kuu kuwa na timu 20. Timu sita zilizopanda ni pamoja na KMC, Coastal Union, Alliance FC, JKT Tanzania, Biashara United na African Lyon.


Source: MwanaspotiRead More