Kwa utatu huu, mwageni zege - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwa utatu huu, mwageni zege

INAPOKUJA ishu ya ufungaji mabao kwa timu yoyote, wanaotupiwa macho kwa ukaribu zaidi ni washambuliaji. Hawa ndio wenye kazi yao, achana na wale mabeki au viungo wanaopanda na kufunga na kuwapita kwa mabao hata washambuliaji. Sio kazi yao sana, ila wakipata nafasi hiyo wanawasaidia.


Source: MwanaspotiRead More