Kwanini huyu Amunike apewe muda Stars - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwanini huyu Amunike apewe muda Stars

NI wakati wa wapenzi na wakereketwa wa soka hapa nyumbani kuanza kujenga utamaduni wa kuwa na subira pamoja na uvumilivu wa kutosha ili kumpa nafasi mwalimu mpya wa timu yetu ya taifa wa sasa na wengineo watakaofuata kwa lengo kuu moja tu, la kuwaruhusu kufanya kazi inayosababisha wapewe kandarasi hapa kwetu.


Source: MwanaspotiRead More