Kwanini Rooney alikamatwa - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwanini Rooney alikamatwa

Wayne Rooney alikamatwa huko Marekani kwenye uwanja wa ndege baada ya polisi kugundua kuwa alikuwa amelewa.


Msemaji wa Rooney amedai kuwa Rooney alipewa vidonge vya usingizi ambavyo vilichanganywa na pombe.


Wayne Rooney alipofika uwanja wa Dulles alipokuwa akitokea Saudia Arabia Polisi walimkamata na kumshikilia kwa dakika kadhaa.Fabregas ni moja kati ya viungo bora kuwahi kutoa EnglandJonathan Liew Mkurugenzi wa michezo wa jarida la The Guardian


Rooney alipigwa fine ya Euro 25 pamoja na Dola 91 kwa ajili ya gharama. Baada Rooney aliachiliwa.


Rooney ambaye kwa sasa ana miaka 33 amekwisha ifungia DC united magoli 12 katika michezo 20.


Kwa sasa ligi kuu nchini Marekani ipo mapumziko na inatarajia kuanza mwezi machi na mchezo wa kwanza DC united itacheza dhidi ya Atlanta United.


Hapo awali mwezi sept mwaka 2017 Wayne Rooney pia aliwahi kukamatawa akiwa amelewa akiwa anaendesha ambapo ni kinyume na sheria.Fabregas ni mchezaji wa kipekee katika ladha ya soka la kiingereza” ... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More