Kwanini serikali inalipisha fedha maiti?-Mbunge ahoji - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Kwanini serikali inalipisha fedha maiti?-Mbunge ahoji

MBUNGE wa upinzani ameitaka serikali ieleze, ni lini itaacha kulipisha fedha maiti? Anaripoti Danson Kaijage … (endelea). Ni kutokana na mgonjwa kufia hospitalini wakati akitibiwa. Swali hilo limeibuliwa leo tarehe 6 Septemba 2019 bungeni na Mbunge wa Viti Maalum, Susan Lyimo (Chadema) alipokuwa akiuliza swali la nyongeza juu ya utozwaji fedha kwa wafiwa ambao wanashindwa ...


Source: MwanahalisiRead More