La Masia ni kinyago cha Barcelona, hakina madhara tena - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

La Masia ni kinyago cha Barcelona, hakina madhara tena

Ukiitazamana kwa makini

NOU CAMP utagundua inaangamia taratibu ikiwa na tai shingoni. Wanahaha kila kukicha. Hivi majuzi kuna watu waliikebehi Barcelona kuwa imegeuka kuwa Madridfication kwa wale wajuvi wa kiingereza mtusaidie


Johan Cruyff alipowasilia Barcelona 1973 hakuna mtu aliyejua kama ataleta mapinduzi makubwa ya soka kwa klabu ile.Cruyff alitambulisha mfumo wa soka safi, soka la akili na ufundi zaidi. Hakuhitaji vifaa vizuri vya gym wala wachezaji kuteseka juani. Alikataa katukatu mpira wa madoido kama wabrazil na kupuuza mpira wa nguvu kama wajerumani.Alishauri kuwa ili mfumo ule ufanye kazi vyema ni lazima uanzishwe kwenye kizazi cha ukuaji cha vijana wadogo kabisa wa Barcelona B na wale wa La Masia. Akaja na mfumo wa tiki-taka pasi kama zote.


Kutoka mwaka 1979 – 2009, vijana 440 wamekimbia majumbani kwao na kwenda kujiunga kwenye jumba la La Masia. Nusu yao wengi walitokea Catalonia, wengine walitokea Himaya ya Hispania, vijana 15 kutoka Cameroon, 7 kutoka Brazil, 5 ku... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More