Lampard majanga, mastaa wanane majeruhi Chelsea - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lampard majanga, mastaa wanane majeruhi Chelsea

Waingereza Ruben Loftus-Cheek na Callum Hudson-Odoi kwa muda mrefu wamekuwa kwenye orodha ya majeruhi katika kikosi hicho cha Chelsea, huku mmoja Hudson-Odoi akitarajiwa kurudi uwanjani mwisho wa mwezi huu na mwingine Loftus-Cheek hadi Novemba.


Source: MwanaspotiRead More