Lawrence Masha Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Fastjet Tanzania - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lawrence Masha Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Fastjet Tanzania

Mwenyekiti Mtendaji Mpya wa Shirika la Ndege  Fastjet Tanzania, Lawrence Masha akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo kuhusu uteuzi wake wa kuwa mwenyekiti wa shirika hilo. Pichani kulia ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Fastjet Tanzania, Capt. Arif Jinnah na kushoto ni Mkuu wa Mahusiano ya Kiserikali wa Fastjet Tanzania, Eng. August Kowero.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Fastjet Tanzania, Capt. Arif Jinnah(kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo kuhusu uteuzi mpya wa Mwenyekiti Mpya wa Fastjet Tanzania Lawrence Masha. Pichani wengine ni Mwenyekiti Mtendaji Mpya wa Fastjet Tanzania, Lawrence Masha na Mkuu wa Mahusiano ya Kiserikali wa Fastjet Tanzania, Eng. August Kowero.

Fastjet kumilikiwa na Watanzania.Tarehe, 12 Novemba 2018, Dar es salaam…..Kati ya mashirika ya ndege zinazokua kwa kasi zaidi, Fastjet Airlines Ltd, Tanzania, leo imethibitisha mikakati ya kumiliki shirika hilo yanaenda vizuri.Tarehe 6 Novemba Fastjet ilimteua Ndugu Lawrenc... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More