Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Legal Services Facility yashiriki kuadhimisha wiki ya Asasi za Kiraia Dodoma

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa wiki ya Azaki ya kiraia akipata maelezo juu  kutoka kwa Meneja Biashara na Mawasiliano wa Legal Service Facilty (LSF), Jane Matinde alipotembelea banda la maondesho kuona kazi mbalimbali zinazofanywa na watoa huduma wa msaada wa kisheria chini ya ufadhili wa LSF. Meneja Biashara na Mawasiliano wa Legal Service Facilty (LSF), Jane Matinde akimshukuru Raisi wa Foundation for Civil Society, Dr Tenga wakati alipotembele banda la Legal Services Facility (LSF) wakati wa ufunguzi wa wiki ya Azaki Tanzania. akishuhudia, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John JinguKatibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt John Jingu ambaye pia ni mgeni rasmi katika ufunguzi wa wiki ya Azaki ya kiraia akisalimiana na moja ya watoa huduma za msaada wa kisheria (paralegal) wa mkoa wa Dodoma bwana Aggrey... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More