LEICESTER CITY WALIVYOMUENZI VICHAI KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LEICESTER CITY WALIVYOMUENZI VICHAI KWA USHINDI WA 1-0 UGENINI

Demarai Gray akionyesha fulana yake iliyoandikwa 'Asante Vichai' baada ya kuifungia bao pekee Leicester City dakika ya 55 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Cardiff City Uwanja wa Cardiff, Caerdydd usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Hiyo ilikuwa ni ishara ya kumuenzi aliyekuwa mmiliki wa klabu yao, Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha aliyefariki dunia wiki iliyopita baada ya Helikopta yake kuteketea kwa moto akitoka kuangalia mechi dhidi ya West Ham United Oktoba 27 Uwanja wa King Power  ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More