Lema apigwa, visu vyatamba Arusha - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lema apigwa, visu vyatamba Arusha

GODBLESS Lema Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema) ameshushiwa kipigo kutoka kwa walinzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Maalum Arusha … (endelea). Tayari taarifa ya kipigo hicho ameifikisha katika Jeshi la Polisi ambapo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamanda Ramadhani Ng’azi amethibitisha kupokea taarifa ya Lema kupigwa na walinzi wa CCM. Wakati Lema akishambuliwa, ...


Source: MwanahalisiRead More