LEO KATIKA HISTORIA: NYERERE NA RAIA WAKAKAMAVU WA TANZANIA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LEO KATIKA HISTORIA: NYERERE NA RAIA WAKAKAMAVU WA TANZANIA

MIAKA 19 BILA NYERERENYERERE NA RAIA WAKAKAMAVU WA TANZANIA
Wakinamama Wako Mbele Katika Ulinzi wa Taifa
Na Judith Mhina-MAELEZOMwalimu Julius Kambarage Nyerere Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kiongozi aliyeshirikisha kila Mtanzania katika kujenga ukakamavu na kuwa sehemu ya ulinzi wa Taifa.Hayo yamethibitika pale aliposhirikisha watoto, vijana, viongozi, wanaume kwa wanawake wa nyumbani, wenye kazi rasmi za serikali Taasisi, Mashirika ya Umma na binafsi katika Jeshi la kujenga Taifa, Jeshi la Mgambo na Chipukizi.Akifunga mafunzo ya Mgambo kwa watumishi na wakazi wa Ikulu tarehe 1 Juni 1973,  kwa kikosi kilichoongozwa na Mama Maria Nyerere Mwalimu Nyerere  amesema “ Tanzania ina wajibu wa kujenga taifa kakamavu na imara kwa ajili ya ulinzi binafsi,  wa mipaka yetu,  Taifa na kujenga afya bora”Mwalimu alithubutu kumshirikisha Mama wa Taifa ambaye ni Mke wake mwenyewe ili apate  mafunzo ya mgambo, kwa kujumuika na watumishi na wakazi wa Ikulu eneo ambalo walii... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More