Leo ni Siku ya Malala Duniani,Mwanaharakati wa Elimu kwa watoto wa Kike - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Leo ni Siku ya Malala Duniani,Mwanaharakati wa Elimu kwa watoto wa Kike

Malala Yousufzai ni msichana mdogo kuwahi kupata tuzo ya amani ya Nobel Prize laureate baada ya kufanya harakati zake za kuhakikisha kwamba kila msichana anapata elimu popote pale alipo .Malala alipigwa risasi akiwa ametoka shule kufanya mitihani na wanakikundi cha Taliban mwaka 2o12 ,alipigwa risasi na wasichana wengine wawili ,Wana Taliban hawakutaka Malala aendelee kuelimisha wasichana kusoma  sababu wao walishakataza watoto wa kike kwenda shule na kupata elimu.


Leo malala amefikisha miaka 21,na kila mwaka tarehe kama hii ni siku ya “Malala Day.” The day is based upon the life and struggles of Malala Yousafzai of Pakistan, who advocates for equal access to education for women.


Mgoogle Malala story yake iko very moving


kwa leo tucheki watu mashuhuri waliotoa neno kwa ajili ya siku ya Malala duniani


Malala Fund is working for a world where all girls can learn and lead without fear. Led by @Malala Yousafzai.“I am not raising my voice, it is the voice of those 66 million gi... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More