Leon Bailey aliteseka sana kabla ya hajakutana na Samatta - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Leon Bailey aliteseka sana kabla ya hajakutana na Samatta


Kuna mwandishi mmoja anajulikana kama Marlon James aliandika kitabu cha A Brief History of Seven Killings kitabu chake kilikataliwa mara 78. Yupo kinda wa Kijamaica ambaye pia alisuswa sana na vilabu vingi vya Ulaya.


Leon Bailey Butler ( 9 Agosti 1997) kule nchini Jamaica. Kwa sasa yupo Bundesliga ndani ya klabu ya Bayer Leverkusen. Aina yake ya uchezaji naifananisha na ile ya Malcom aliyetimkia Barcelona. Huyu alikuwa swahiba mkubwa wa Samatta katika klabu ya KRC Genk.Bailey alizaliwa maeneo ya Cassava Piece kule mjini Kingston, Jamaica.


Leon BaileyTaarifa binafsi
Majina Leon Bailey Butler
Kuz 9 Agosti 1997 (20)
Mah Kingston, Jamaica
Kimo 1.81 m (5 ft 11 1⁄2 in)
Nafasi Winga

Kabla Bailey hajajiunga na Bayer Leverkusen alikataliwa sana na vilabu mbalimbali.


Hapo awali akiwa shule ya msingi alijiunga na shule ya vipaji ya Phoenix All-Stars Football iliyokuwa chini ya mzee Craig Butler ambaye baadae alikuja kuwa baba yake mlezi.Licha ya kukataliwa mara kadhaa kocha Papine FC bwan... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More