Let’s Judge ::: Kwa Sasa Wadada Ndo wanawanunulia Magari wapenzi wao,Kama Vera Sidika - 8020 Fashions | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Let’s Judge ::: Kwa Sasa Wadada Ndo wanawanunulia Magari wapenzi wao,Kama Vera Sidika

Vera Sidika socialite huyu wa Kenya na Mjasiriamali ameachana na Otile Brown juzi tu hapa leo yuko na Model wetu kutoka Arusha Calisah.


Mambo yame move too fast sababu sijui wamekua wapenzi kwa muda gani mpaka kununuliana magari i guess msemo its not who you have known the longest but  It’s about who walked into your life, said “I’mhere” for you and prove it.So Calisah ndo boo akee Vera Sidika for now ,halaf caption yasema  I always keep promises. 
Hope you love your new car.


Nawaza alimprose akiafanya nn ndo anampa gari ??


Wadada wengi tumezoea kupewa gift sisi but Vera amevunja hii norm kwamba wadada mnapenda sana kupokea yeye katoa kwa mpenzi wake.


Kama Beyonce alimnunulia Jay Z private Jet 40 Million Dollors uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii


Good luck to the two of them


JE WEWE WAWEZA KUMNUNULIA BOYFRIEND AU MUME WAKO HATA FIANCEE GARI???AU PRIVATE JET??... Continue reading ->


Source: 8020 FashionsRead More