LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YASHINDA 3-2 UGENINI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YASHINDA 3-2 UGENINI

Robert Lewandowski akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 34 na 62 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Olympiacos kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Georgios Karaiskáki mjini Piraeus. Bao lingine la Bayern Munich lilifungwa na Corentin Tolisso dakika ya 75, wakati ya Olympiacos yalifungwa na Youssef El-Arabi dakika ya 23 na Guilherme dakika ya 79 na kwa mabao yake mawili jana, Lewandowski amepanda nafasi ya tano katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More