Ligi Ilemela imeanza kunoga Mwanza - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ligi Ilemela imeanza kunoga Mwanza

TIMU ya Jock Boys imepunguzwa kasi kwenye michuano ya Ligi Daraja la nne Wilaya ya Ilemela baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Buzuruga FC kwenye mchezo uliopigwa juzi katika uwanja wa Nyamagana.


Source: MwanaspotiRead More