Ligi Kuu England: Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi tano za EPL Jumamosi - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ligi Kuu England: Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi tano za EPL Jumamosi

Kwa sasa wakati wa majaribio, teknolojia hiyo ya VAR itatumiwa katika uamuzi wa kuthibitisha magoli yanapofungwa, kuamua mikwaju ya penalti, kadi nyekundu za moja kwa moja na kuwatambua wachezaji.


Source: BBC SwahiliRead More