LIGI KUU YA WANAWAKE NI YANGA PRINCES NA SIMBA QUEENS JUMAPILI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LIGI KUU YA WANAWAKE NI YANGA PRINCES NA SIMBA QUEENS JUMAPILI

Simba na Yanga kuchuana vikali katika ligi kuu ya soka la wanawake ya SERENGETI LITE                                        

DAR ES SALAAM, Januari 11, 2019: Kwa mara ya kwanza katika historia ya soka la Wanawake hapa nchini Klabu za Simba na Yanga zinatarajia kukutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite utakaochezwa Jumapili, Januari 13,2019.

Mchezo huo utachezwa saa 10 Jioni katika  Uwanja wa Karume, Ilala makao makuu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Ligi kuu ya wanawake inadhaminiwa na kinywaji cha Serengeti Premium Lite kwa msimu wa pili mfululizo. 

Katika mchezo huo unaotarajiwa kuwa na msisimko mkubwa, kiingilio kitakuwa shilingi 2,000. Mashabiki wanahakikishiwa usalama huku vyombo husika vikihakikisha mchezo salama bila bughudha ya aina yoyote.

Mwenyekiti wa Kamati ya Mpira wa Wanawake, Amina Karuma, akizungumza kuelekea mchezo huo amesema msimu huu umeanza kwa msisimko mkubwa na ushindani wa aina yake hiv... Continue reading ->
Source: Mwanaharakati MzalendoRead More