Lionel Messi azidi kuvunja rekodi ya magoli - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lionel Messi azidi kuvunja rekodi ya magoli

Mchezaji wa Klabu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi, amezidi kuweka rekodi nzuri ya kufumania nyavu za wapinzani wake kila wanapokutana uwanjani, kila mwaka kwa kupachika magoli sio chini ya 40. Kwa mwaka huu 2018, tayari amefunga magoli 41, katika mechi zote alizocheza magoali ambayo aliwahi kufunga mwaka 2009, pindi alipoanza


Source: Kwanza TVRead More