Lipumba maji ya shingo, Maalim Seif kicheko - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lipumba maji ya shingo, Maalim Seif kicheko

KWA mara ya kwanza, Prof. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amekiri kwamba, chama chake kinahemea pomoni. Anaandika Mwandishi Wetu …(endelea). Tofauti na awali ambapo, Prof. Lipumba na timu yake walivyojigamba kwamba, kuondoka kwa Maalim Seif Shariff Hamad, aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho hakutawatikisa, lakini sasa anakiri wazi myumbo wa chama chake. ...


Source: MwanahalisiRead More