Lissu aruhusiwa hospitalini, kutua nchini muda wowote - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lissu aruhusiwa hospitalini, kutua nchini muda wowote

TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki ameruhusiwa kutoka hospitalini alipokuwa anatibiwa kwa miezi saba, nchini Ubelgiji. Anaripoti Mwandishi Weti … (endelea). Lissu amesambaza ujumbe wake kupitia mitandao ya kijamii kuwa, ameruhusiwa kutoka hospitalini baada daktari wake kujiridhisha afya yake imetengamaa. Mbunge huyo ameeleza katika ujumbe wake kuwa pamoja na kurusiwa lakini ataendelea kukaa na chuma ...


Source: MwanahalisiRead More