Liverpool, City lazima kieleweke tu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Liverpool, City lazima kieleweke tu

City bingwa mtetezi wa Ligi Kuu England na vinara wa Ligi hiyo hadi sasa itakuwa na kazi pevu ya kulinda rekodi yake ya ushindi kwa msimu huu mbele ya Liverpool ambayo haifungiki kirahisi kwenye dimba lao la nyumbani.


Source: MwanaspotiRead More