Liverpool hii inastahili kila kitu EPL, UCL - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Liverpool hii inastahili kila kitu EPL, UCL

Nikiwa mchezaji niliyechezea kufikia kiwango cha Ligi Kuu ya Kenya kati ya miaka 1977- hadi 1980 nikiwa na timu za Liverpool na Black Panther FC za Mombasa, nilihisi ushindi wa Barca ulikuwa haustahili, ilikuwa makosa ya madogo ya mabeki ndipo mabao yalipatikana.


Source: MwanaspotiRead More