Liverpool inazungumza na staa wa Ivory Coast - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Liverpool inazungumza na staa wa Ivory Coast

RAIS wa Lille ya Ufaransa, Gerard Lopez amethibitisha Klabu ya Liverpool inafanya mazungumzo na staa wao wa kimataifa wa Ivory Coast, Nicolas Pepe lakini klabu hiyo ya Anfield bado haijaanza kufanya mazunguzo rasmi na wao kuhusu staa huyo.


Source: MwanaspotiRead More