Liverpool kwa Allison Becker safi lakini Chelsea kwa hu Kepa hapana aisee mmeibiwa! - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Liverpool kwa Allison Becker safi lakini Chelsea kwa hu Kepa hapana aisee mmeibiwa!

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho wakati United wakimnunua Pogba alishambuliwa sana kwa bei aliyomnunulia lakini baadae akasema ni jambo la kawaida sana na siku sio nyingi Pogba ataonekana alinunuliwa kwa pesa chache.


Baadaye Neymar akaenda PSG £195m zikimng’oa Barcelona watu wakaanza kuona namna ambavyo pesa imeanza kuwa na matumizi makubwa sana kwenye soka na pengine kuzidi hata thamani halisi ya wachezaji.Allison Becker alipouzwa Liverpool kwa £67m watu walishtuka kwa kuwa ilionekana ghali, lakini Kepa Arrizabalaga kusaini Chelsea kwa £71m haichanganyi tu bali inaweza kukupa kizunguzungu ukabaki kujiuliza kwanini.


Binafsi sijawahi msikia Kepa akitajwa tajwa na kwa mawazo yangu baada ya Becker kwenda Liverpool kwa haraka haraka kipa ambaye nilimuona anaweza kuvunja rekodi yake ya usajili ukiacha De Gea(hanunuliki/hauzwi) ni mlinda lango wa Ac Milan Gianluigi Donnaruma lakini Kepa hapana aisee.Kwa uzoefu Kepa hana uzoefu wa kiasi cha £71m, na sio mbaya kwa kuwa keshanu... Continue reading ->


Source: Shaffih DaudaRead More