LIVERPOOL YAIFUATA BARCELONA KIBABE NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LIVERPOOL YAIFUATA BARCELONA KIBABE NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA

Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wao wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Porto FC jana kwenye mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja waDo Dragao mjini Porto, Ureno hivyo kutinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-1 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza England wiki iliyopita na sasa itamenyana na Barcelona iliyoitoa Manchester United. Mabao ya Liverpool jana yalifungwa na Sadio Mane dakika ya 26, Mohamed Salah dakika ya 65, Roberto Firmino dakika ya 77 na Virgil van Dijk dakika ya 84, wakati la Porto lilifungwa na Eder Militao dakika ya 68 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More