LIVERPOOL YAPIGWA 3-1 NA TIMU YA ZAMANI YA KLOPP - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LIVERPOOL YAPIGWA 3-1 NA TIMU YA ZAMANI YA KLOPP

Beki Virgil van Dijk (wa pili kushoto) akiwa juu kuifungia kwa kichwa Liverpool dakika ya 25 ikilala 3-1 mbele ya timu ya zamani ya kocha wao, Jurgent Klopp, Borussia Dortmund katika mchezo wa urafiki usiku huu Uwanja wa Bank of America mjini Charlotte, North Carolina, Marekani. Mabao ya Borussia Dortmund yamefungwa na Christian Pulisic kwa penalti dakika ya 66 na Jacob Bruun Larsen dakika ya tatu ya muda wa nyongeza baada ya kutimia dakika 90 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More