LIVERPOOL YASHINDA MECHI YA TANO MFULULIZO ENGLAND, SPURS YAFA 2-1 WEMBLEY - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LIVERPOOL YASHINDA MECHI YA TANO MFULULIZO ENGLAND, SPURS YAFA 2-1 WEMBLEY

Roberto Firmino akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili dakika ya 54, kufuatia Georginio Wijnaldum kufunga la kwanza dakika ya 39 kabla ya kiungo Muargentina, Erik Lamela kuifungia Tottenham Hotspur dakika ya 90 na ushei Wekundu hao wa Anfield wakishinda 2-1 Uwanja wa Wembley mjini London huo ukiwa ushindi wa tano mfululizo katika mechi zote tano za mwanzo za Ligi Kuu ya England Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More