LONGRICH INTERNATIONAL INAYOFANYA BIASHARA MTANDAONI YATAMBULISHWA RASMI NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LONGRICH INTERNATIONAL INAYOFANYA BIASHARA MTANDAONI YATAMBULISHWA RASMI NCHINI

Na Bakari Madjeshi, Michuzi TV
Kampuni kutoka nchini China inayojishughulisha na masuala ya Bishara Mtandaoni imetambulishwa rasmi nchini Tanzania na kwa Watanzania kwa ujumla.
Longrich Internaltional yenye miaka 33 tangu kuzinduliwa ambapo Makao Makuu yake yapo nchini China imekuja nchini kutoa fursa katika suala la Biashara ya Mtandaoni.
Akizungumza wakati wa utambulisho wa Kampuni hiyo, Afisa Tarafa wa Wilaya ya Ilala, George Anthony amesema Serikali ya Tanzania ipo kwenye mkakati wakuvutia Wawekezaji na Biashara, amesema wanaikaribisha Longrich huku akisema Serikali inaahidi kuwa bega kwa bega kuweka mazingira sahihibya kufanya biashara.
Amewaomba Longrich wasiifanye Tanzania kama Soko, ametoa wito kwa Kampuni kama hizo kuja kuwekeza Viwanda vya Uzalishaji wa bidhaa zao hapa Tanzania, kama Serikali inavyojipambanua kuwa ya Viwanda.
Kwa Upande wake, Meneja wa Longrich Tanzania, Pino Zhang amesema Longrich ni moja ya Kampuni kubwa nchini China iliyo katika 10 Bora za Kampuni zilizopo n... Continue reading ->
Source: Issa MichuziRead More