Lord Eyes Afungukia Skendo Ya Mapenzi na Wolper - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lord Eyes Afungukia Skendo Ya Mapenzi na Wolper

Msanii mkongwe wa muziki wa hop hop nchini kupokea katika kinda la Weusi Lord Eyes amefungukia tetesi zinazotrend kuwa Ana mahusiano na staa wa Bongo movie Jacqueline Wolper.


Kwa muda mfupi sasa kumekuwa na tetesi kuwa Lord Eyes na Wolper wamekuwa kwenye mahusiano hi ilitokana na picha kadhaa zilizowaonyesha wasanii hao pamoja.


Wiki iliyopita kwenye mahojiano yake na Global Publishers, Wolper alikataa tetesi hizo Lakini pia aliweka hao tatizo Kama ikitokea hivyo:Unajua hata mimi ambaye naambiwa natoka naye nimeona kwenye mitandao tu lakini pia siku ikitokea, freshi tu.Sio mwanaume mbaya maana ana sifa zote za mwanaume ninayempenda au wamesema hivyo kwa sababu niliimba wimbo wake nikauposti mtandaoni ndio tatizo basi ngoja tuone itakavyokuwa maana Wabongo wape picha tu maneno wataweka wenyewe”.Lakini pia Lord Eyes amefungukia tetesi hizo kwenye mahojiano na kipindi cha Refresh cha Wasafi Tv na kusema habari hizo hazina Ukweli wowote:Wolper ni radioing yangu tu na unajua maana ... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More