Lori lalipuka na kuteketeza watu zaidi 60 - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lori lalipuka na kuteketeza watu zaidi 60

TAKRIBANI watu 60 wanaohofiwa kufariki dunia huku wengine mamia wakiungua moto baada ya lori la mafuta kupinduka na baadaye kuwaka moto, katika eneo la Msamvu, mkoani Morogoro. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa kutoka eneo la tukio zinasema, lori hilo ambalo lilikuwa limebeba mafuta ya petroli, liliwaka moto muda mfupi baada ya kupinduka. Mmoja wa mashuhuda ...


Source: MwanahalisiRead More