Lowassa ametaka athibitishiwe kama hawatomnyima kura Mgombea wa CHADEMA - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lowassa ametaka athibitishiwe kama hawatomnyima kura Mgombea wa CHADEMA

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa alikuwa mkoani Kilimanjaro katika Jimbo la Siha ambapo alipanda Jukwaani kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Elvis Mosi. Akizungumza katika jukwaa hilo Lowassa amewaomba wakazi wa Siha kumchagua Elvis Mosi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Lowassa akiwataka Wananchi […]


Source: Millard AyoRead More