Lowassa ataja sababu za Kalanga kurudi CCM - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lowassa ataja sababu za Kalanga kurudi CCM

WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa. Edward Lowassa leo amewahutubia wananchi wa Kata ya Migungani Wilayani Monduli katika kufunga Kampeni ya Uchaguzi mdogo wa marudio ya Udiwani. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Lowassa amekanusha vikali tuhuma zilizozagaa kwamba anawatuma watu wake watangulie nayeye atarejea, Pia amesema chanzo cha aliyekuwa Mbunge ...


Source: MwanahalisiRead More