“LPO” ZA MAKARATASI SASA BASI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“LPO” ZA MAKARATASI SASA BASI

Ng'wananyamate Mgengeli Mtaalam Mshauri kutoka mradi wa PS3, akichangia mada wakati wa mafunzo ya maofisa Manunuzi kuhusu mfumo wa Epicor 10.2 yaliyofanyika katika ukumbi wa Victoria Palace jijini Mwanza (Picha na Atley Kuni- OR TAMISEMI).Baadhi ya Maafisa Manunuzi wakimsikiliza kwa makini, mwezeshaji Stanslaus Msenga hayupo pichani wakati wa mafunzo jijini Mwanza (Picha na Atley Kuni OR TAMISEMI)Stanslaus Msenga, Mhasibu Mwezeshaji akitoa somo kwa Maafisa Ugavi wa Halmashauri za Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Tabora na Simiyu wakati wa Semina ya mfumo wa Epicor 10.2 jijini Mwanza (Picha na Atley Kuni- OR TAMISEMI).
Na. Atley Kuni- OR TAMISEMI
Wataalam wakufunzi kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za mitaa wamesema mikataba ya manunuzi (Local Purchasing Order LPO), itafikia ukomo mara baada ya kuanza kutumika kwa mfumo wa uhasibu na uaandaji hesabu za serikali (Epicor 10.2) ifikapo 01 Julai, 2018.
Akizungumza wakati wa mahojiano maalum Mhasibu mwezeshaji Melkizedeck K... Continue reading ->Source: KajunasonRead More