LSF KUTOA HUDUMA ZA MSAADA WA SHERIA WILAYA NA HALMASHAURI 170 TANZANIA BARA NA VISIWANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LSF KUTOA HUDUMA ZA MSAADA WA SHERIA WILAYA NA HALMASHAURI 170 TANZANIA BARA NA VISIWANI

Meneja Mawasiliano wa LSF, Jane Matinde (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji ITV/Radio One Joyce Mhavile (kulia) machapisho yenye dondoo za utekelezaji wa mradi unaotarajia kuanza hivi karibuni wa kuwawezesha wananchi katika wilaya na halmashauri 170 Tanzania bara na Zanzibar kupata huduma za msaada wa kisheria bure.Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More