Lugha tatizo utafiti wa kilimo cha umwagiliaji - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lugha tatizo utafiti wa kilimo cha umwagiliaji

WATAFITI kutoka Vyuo vikuu mbalimbali nchini wametakiwa kutafsiri tafiti zinazofanyika kwa lugha nyepesi ili kuweza kutumika na kutatua matatizo yanayopatikana kwenye maeneo mbalimbali kila wakati ikiwemo changamoto ya matumizi ya maji kiholela katika kilimo cha umwagiliaji iliyopo kwa sasa. Anaripoti Christina Haule, Morogoro … (endelea). Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za maji, Praxeda Karugendo alisema hayo jana ...


Source: MwanahalisiRead More