Lugola achemka, JPM atumbua - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lugola achemka, JPM atumbua

LICHA ya maelezo na maelekezo ya mara kwa mara yanayotolewa na Kangi Lugola, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Jeshi la Polisi, polisi wake wameendelea kuogelea kwenye tuhuma nzito. Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Lugola amekua akitembelea maeneo mbalimbali nchini na kukutana na ‘vijana wake’ huku akitoa maelezo na kuonya watakaojihusisha na vitendo ...


Source: MwanahalisiRead More