LUGOLA ATAKA MAGEREZA KUANZA KUJENGA VIWANDA VYA SAMANI VYA KISASA NCHINI, ASEMA VILIVYOPO HAVIWEZI KUTUPELEKA UCHUMI WA VIWANDA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LUGOLA ATAKA MAGEREZA KUANZA KUJENGA VIWANDA VYA SAMANI VYA KISASA NCHINI, ASEMA VILIVYOPO HAVIWEZI KUTUPELEKA UCHUMI WA VIWANDA


Na Felix Mwagara (MOHA), Arusha

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelitaka Jeshi la Magereza lianze maandalizi ya ujenzi wa viwanda vya samani vya kisasa kwa kuwa vilivyopo havina hadhi ya kwenda na kasi ya uchumi wa viwanda nchini.

Alisema Viwanda vya Samani cha Ukonga, jijini Dar es Salaam, cha Arusha pamoja na cha Uyui Mkoani Tabora, havina hadhi ya kuitwa viwanda vya kisasa kutokana na uzalishaji wake kuwa mdogo na pia ukubwa wa viwanda hivyo ni mdogo.

Akizungumza leo akiwa katika Kiwanda cha Samani cha Magereza kilichoungua moto mwezi uliopita eneo la Unga Limited, jijini humo, Lugola alisema kiwanda hicho kilichoungua hakuna haja ya kukijenga kingine katika eneo hilo kwa kuwa kiwanda hicho ni kidogo, hivyo maandalizi ya ujenzi wa kiwanda kipya cha kisasa uanze kuanzia sasa. Alielekeza kuwa, kwa kuwa eneo hilo ni dogo, linatakiwa liboreshwe kwa ajili ya kuhifadhiwa samani ambavyo zitakua zimetengenewa katika kiwanda cha kisasa kitakachojengwa jijini h... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More