Lugola awageukia Polisi wanaobambikia watu kesi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Lugola awageukia Polisi wanaobambikia watu kesi

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amehidi kufanya ziara za kushtukiza kwenye vituo vya polisi nchini ili kupambana na baadhi ya polisi wenye tabia ya kubambikizia kesi wananchi. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Waziri Lugola aliyasema hayo jana Agosti 9, 2018 wakati akihutubia kwenye mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha ...


Source: MwanahalisiRead More