LUGOLA AWATAKA POLISI KUIMARISHA ULINZI MSIMU WA SIKUKUU; VIBAKA, MATAPELI NA MAJAMBAZI WAKAMATWE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LUGOLA AWATAKA POLISI KUIMARISHA ULINZI MSIMU WA SIKUKUU; VIBAKA, MATAPELI NA MAJAMBAZI WAKAMATWE

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Kangi Lugola, akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kisorya, Kata ya Kisorya, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara, wakati Mbunge huyo alipofanya ziara katika kijiji hicho kusikiliza kero za wapigakura wake pamoja na kuwahamasisha kuanza maandalizi ya kilimo kwa kuwa msimu wa kilimo umeshafika. Katika hotuba yake Lugola aliwataka Polisi nchini kuimarisha ulinzi kwa kuwasaka vibaka na majambazi katika msimu huu wa sikukuu. Pia aliwaagiza wawakamate watu wanaowatia mimba wananfunzi na wawafungulie mashtaka.
Na Felix Mwagara, (MOHA), Mara.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelitaka Jeshi la Polisi nchini liimarishe ulinzi wakati wa sikukuu za krismasi na mwaka mpya na kuwataka wananchi kutokujisahau kwasababu ya sikukuu hizo.
Akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Kisorya, Kata ya Kisorya, Jimbo la Mwibara, Wilayani Bunda Mkoa wa Mara, Lugola ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo, alisema msimu hu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More