LUGOLA AWATULIZA WANANCHI WENYE HASIRA WANAOGOMBEA ARDHI KILOSA, ASEMA WANASHERIA FEKI CHANZO CHA MIGOGORO HIYO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LUGOLA AWATULIZA WANANCHI WENYE HASIRA WANAOGOMBEA ARDHI KILOSA, ASEMA WANASHERIA FEKI CHANZO CHA MIGOGORO HIYO

 WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola (kushoto), akisoma moja ya bango liloandikwa na wananachi kabla ya kuanza mkutano wake wa hadhara na wananchi wa Tarafa ya Kimamba, Wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro, alipofika katika tarafa hiyo kwa lengo ya kutatua migogoro ya ardhi ambayo inaleta uvunjifu wa amani katika eneo hilo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Adamu Mgoyi. Lugola alisema chanzo ya migogoro ya ardhi Wilayani humo ni kutokana na kuibuka wanasheria feki ambao wanawarubuni wananchi kushindwa kufauata sheria za nchi.WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, akizungumza na mamia ya wananchi wa Tarafa ya Kimamba, Wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro, alipofika katika tarafa hiyo kwa lengo ya kutatua migogoro ya ardhi ambayo inaleta uvunjifu wa amani katika eneo hilo. Lugola alisema chanzo ya migogoro ya ardhi Wilayani humo ni kutokana na kuibuka wanasheria feki ambao wanawarubuni wananchi kushindwa kufauata sheria za nchi. WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola (kushoto), akimsikiliza ... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More