LUKAKU AFUNGA MAN UNITED IKITOA SARE 2-2 NA SOUTHAMPTON - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

LUKAKU AFUNGA MAN UNITED IKITOA SARE 2-2 NA SOUTHAMPTON

Romelu Lukaku akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 33 akimaliza ukame wa mabao wa mechi 12, Mashetani Wekundu wakitoka nyuma kwa mabao 2-0 na kupata sare ya 2-2 ugenini dhidi ya Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana. Bao la pili la Man United lilifungwa na Ander Herrera dakika ya 39 pasi zote za mabao hayo zikitoka kwa Marcus Rashford. Mabao ya Southampton yalifungwa na Stuart Armstrong dakika ya 13 Cedric Soares dakika ya 20 
  ... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More